Social Icons

Ijumaa, 10 Julai 2015

Takukuru Watapakaa Mkoani Dodoma.


Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini Tanzania watapakaa mkoani Dodoma kunusa harufu ya rushwa inayonukia kwa wapambe wa makada wanaongoja kuchujwa usiku wa leo.Taasisi hiyo imetapakaa kila kona ili kuwabana wote watakao sadikika kuchukua au kugawa bakishishi hiyo ili kupigiwa kura kinyume na taratibu na kanuni za chama na nchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni