Social Icons

Jumatatu, 18 Mei 2015

Mbunge Wa CCM Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete Mgeni Rasmi Shule Ya Sekondari Mazinde Lushoto Live!!!.

 

 Mgeni wa Heshima siku ya kuhitimu Shule ya Sekondari Mazinde Lushoto Tanga, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge wa CCM Chalinze akihutubia wahitimu live!! 


 

 

 Mheshimiwa Mbunge Ridhiwani Kikwete akiongea na DC wa Wilaya ya Lushoto Bi Mariam Juma. 


 

Wanafunzi wahitimu wakiimba mbele ya Mgeni wa Heshima. 

  

Mgeni wa heshima Mbunge wa Chalinze CCM Mh. Ridhiwani akimpa zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Bwana Elishiria Kaaya. 

  

  

  

 Mgeni wa Heshima akitoa Zawadi kwa mmoja wa wahitimu wa shule hiyo,  

 

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni