Social Icons

Alhamisi, 23 Aprili 2015

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI achapwa VIBOKO HADI KUFARIKI KWA KUFELI MTIHANI WA KISWAHILI HUKO KITETO

 MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI achapwa VIBOKO HADI KUFARIKI KWA KUFELI MTIHANI WA KISWAHILI HUKO KITETO .....CHEKI HAPA=>> http://goo.gl/ztqO91
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. INGIA HAPA=>> http://bitly.com/1E7FnZE
Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.. INGIA HAPA=>> http://goo.gl/VH3kkO

Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).. INGIA HAPA=>> http://goo.gl/UKQmO2

Kanali Nzoka alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi wakiwa darasani, wakati mwalimu huyo anayeshikiliwa na polisi alipokuwa akiwafundisha. Inadaiwa mwanafunzi huyo alichapwa viboko vinane. Haikuelezwa kama alichapwa kiganjani ama sehemu nyingine.. INGIA HAPA=>> http://bitly.com/1CUBS1B

Nzoka alidai kuwa mwalimu huyo alimchapa marehemu baada ya kupata alama 40 katika mtihani wa somo la Kiswahili kwani walipeana mkakati wa kutofeli na kwamba mwanafunzi atakayepata chini ya alama 40 atachapwa fimbo 12.. INGIA HAPA kusoma zaidi =>> http://goo.gl/aWllYa

Kuna ukweli wowote hii ishu ya Director wa Bongo Movie kumwingilia kinguvu mwigizaji?

 dark-room
Hii ishu imefika mezani kwa gossip cop Soudy Brown .. inahusu mwanafunzi ambae amelalamika kwamba ilikuwa mara yake ya kwanza kuigiza, ikatokea director mmoja wa bongo movie akamwingilia kinguvu.
Dadake msichana huyo amesimulia kwamba walikuwa location kufanya movie, director huyo akamuita mdogo wake kwenye chumba chake na kumwingilia kwa nguvu.
Msichana aliyefanyiwa kitendo hicho amesema hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuigiza.. siku ya tukio walikuwa location, director huyo akamuita kwenye chumba cha wanaume ili amuelekeze kitu, alipoingia akamfanyia kitendo hicho.. alijaribu kupiga kelele lakini watu hawakusikia na alishindwa kutoa taarifa kwa kuhofia kupata aibu.

Jumatano, 15 Aprili 2015

Kumbe Msanii HUSSEIN MACHOZI hajafa kama zilivyo vuma hewani, Msikilize akiongea hapa baada ya tukio, Anasema jinsi tukio hilo lilivo muathiri yeye na familia yake kwa ujumla.

Ijumaa, 10 Aprili 2015


MGAO HUOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO,         

Kwa ufupi
Hali hiyo imetokana na maombi ya Kampuni ya Pan African Energy (PAT) inayosimamia uzalishaji wa gesi asilia Songosongo kusimamisha uzalishaji kwa nyakati tofauti ili kufanya matengenezo na kubadilisha baadhi ya vifaa kwenye mitambo yake.

Dar es Salaam
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza mgawo wa umeme kwa siku tisa katika baadhi ya maeneo kutokana na upungufu wa nishati hiyo katika Gridi ya Taifa.

Hali hiyo imetokana na maombi ya Kampuni ya Pan African Energy (PAT) inayosimamia uzalishaji wa gesi asilia Songosongo kusimamisha uzalishaji kwa nyakati tofauti ili kufanya matengenezo na kubadilisha baadhi ya vifaa kwenye mitambo yake.

Taarifa ya shirika hilo kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana ilisema shughuli hiyo itafanyika kwa siku tofauti kati ya Aprili 6 na Mei 10.

“Hivyo Shirika linawatangazia wateja wake waliounganishwa kwenye mfumo wa gridi ya Taifa kwamba kutakuwa na upungufu wa umeme kwa baadhi ya maeneo kutokana na matengenezo hayo yanayofanyika kila mwaka,” ilisema.

Tanesco inategemea gesi hiyo kuendesha mitambo yake ya Ubungo 1, Ubungo 2 na Tegeta yenye uwezo wa kufua megawati 245 na kuendesha mitambo mingine ya umeme ya Songas yenye uwezo wa megawati 180.

Taarifa hiyo ilisema pamoja na kutumia vyanzo vingine vya kufua umeme kama maji na mafuta, katika kukabiliana na matengenezo hayo, ukosefu huo wa gesi utaathiri ufuaji wa umeme kwa siku tisa. Hata hivyo, taarifa hiyo ilisema upungufu huo kwa kila siku utagawanywa kidogokidogo kwenye mikoa iliyopo kwenye gridi na hautaathiri upatikanaji wa umeme kwa mkoa mzima.

Akizungumzia mgawo huo, Meneja wa Mawasiliano Tanesco, Adrian Severin alisema ukiondoa tatizo hilo la ukarabati wa miundombinu ya gesi, shirika lake halina tatizo la kuilazimisha nchi kuingia katika mgawo kwa sasa.

Pia, aliitaja mikoa ambayo haitaathiriwa na mgawo huo kuwa ni Kagera, Ruvuma, Kigoma, Lindi, Mtwara na Wilaya ya Loliondo, Arusha. Chanzo Mwananchi leo 10 April 015.

KWA HABARI na BURUDANI zaidi.: Woord-Skatte Gemyn op Tsumeb: NOORD KAAP GEE REDES...







Woord-Skatte Gemyn op Tsumeb: NOORD KAAP GEE REDES

Word Versadig!