Kuna ukweli wowote hii ishu ya Director wa Bongo Movie kumwingilia kinguvu mwigizaji?
Hii ishu imefika mezani kwa gossip cop Soudy Brown ..
inahusu mwanafunzi ambae amelalamika kwamba ilikuwa mara yake ya kwanza
kuigiza, ikatokea director mmoja wa bongo movie akamwingilia kinguvu.
Dadake msichana huyo amesimulia kwamba
walikuwa location kufanya movie, director huyo akamuita mdogo wake
kwenye chumba chake na kumwingilia kwa nguvu.
Msichana aliyefanyiwa kitendo hicho
amesema hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuigiza.. siku ya tukio
walikuwa location, director huyo akamuita kwenye chumba cha wanaume ili
amuelekeze kitu, alipoingia akamfanyia kitendo hicho.. alijaribu kupiga
kelele lakini watu hawakusikia na alishindwa kutoa taarifa kwa kuhofia
kupata aibu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni