Social Icons

Jumapili, 12 Aprili 2015

BREAKING NEWS; WATU KADHAA WAMEPOTEZA MAISHA KATIKA AJARI YA BASI LA NGANGA LILILOKUWA LIKITOKEA DAR ES SALAAM KWENDA MBEYA ,KUGONGANA NA USO NA ROLI NA KULIPUKA MOTO LEO 12 APRL 2015 KATIKA ENEO LA IYOVE MPAKANI MWA MKOA WA MOROGORO NA IRINGA. R.I.P ALL .

WaMwondo; HABARI Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya basi la Nganga lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya kugongana na lor...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni