Muigizaji wa filamu za
Bongo, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21.
Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond
aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
ALICHOPOST DIAMOND
Diamond ambaye ni uncle wa Cookie pia amempongeza Aunty na Mose kupitia Instagram:
“Hongera sana
@auntyezekiel na @Moseiyobo kwa kupata Mtoto wa kike… unataka kujua na
jina anaitwa nani????…anaitwa #Cookie yaani inatamkwa #Kuki maana
hamkawii kumuharibu jina na kumuita #Kookie @naytrueboy Njoo uone
Mafundi washapata Mtoto kiulaiiiiiiiiini.”
Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:
“Amin ktk Mungu ndio
Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo
Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar
21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante
tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi
kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binaadamu wajizaniao wao ni
miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako
ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni
body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO YANG…”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni