Kingine ambacho nimekishuhudia muda mfupi uliopita kwenye Channel
ya MTV #322 on DSTV ni hii video ya Mbongo mwingine.. Mkali wa Hiphop
toka kundi la WEUSI, Joh Makini ikitambulishwa rasmi kwa mara ya kwanza.
Wimbo unaitwa Nusu Nusu, Joh kamshirikisha mweusi mwingine mkali wa
Chorus, G Nako.
Ni furaha kumuona mwana Hiphop kwenye Headlines za TV kubwa...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni