skip to main |
skip to sidebar
Matukio Picha Maadhimisho Miaka 51 ya Muungano Tanganyika na Zanzibar April 26/2015
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye
Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria
Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis
Mwamunyange .Picha na OMRRais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye
Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria
Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis
Mwamunyange .Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akikagua gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka
51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa
Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akikagua gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka
51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa
Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa
heshima wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib

heshima wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo. Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni