Baada ya Rais Pierre Nkurunziza kuteuliwa na
chama chake kugombea urais kwa muhula wa tatu.Maandamano makubwa
yameendelea nchini humo na kugharimu maisha ya watu ,waandamaji hao
wanadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi waliokuwa
wakijaribu kuyadhibiti maandamano hayo.wafuasi hao wameapa kuendelea na
maandamano hayo, hadi rais Nkurunzinza atakapobadili uamuzi wake wa
kuwania urais kwa muhula mwingine.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni