Awali, akizungumza na MPEKUZI baada ya mwanafunzi huyo kufariki, Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime, aliwataja walimu
waliohusika katika tukio hilo na ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi,
kuwa ni Machael Bajutta (28), Chalamilla Gereza (33) na Mwalimu Joyce
Msiba (36).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni