Hakimu Denis Mpelembwa amepandishwa cheo kuwa
hakimu mkazi na kuhamishiwa mkoani Kagera, siku
moja tu baada ya kumuhukumu mbunge wa hai na
mwenyekiti wa chadema taifa
Freeman Mbowe kwenda jera mwaka 1 au faini milioni 1
Aliyekuwa RPC wa iringa kumuhanda alipandishwa cheo wiki 2 baada ya kumuuwa mwandishi wa habari daudi mwangosi.
Hakimu aliyemfunga mdude nyagali kwenda jera miaka mitatu au faini laki 2 naye alipandishwa cheo wiki 1 baada ya hukumu hiyo.
OCD aliyesababisha mauwaji arusha kwenye mkutano wa chadema alipandishwa cheo sasa ni RPC.
Akari
wa jeshi la police bwana said aliyempiga risasi muuza magazeti pale
morogoro wakati wa mkutano wa chadema alipewa cheo cha ukoplo.
askari
waliowapiga risasi za matako na kuwauwa wachimbaji wadogowadogo wa
madini kwenye mgodi wa buzwagi wamepandishwa vyeo ni masanjent na
wengine ni makoplo na ma-OCD'
majaji
na mahakimu wanang'ang'aniana kesi za chadema wahukumu ili wapandishwe
vyeo,huku askari police nao wanajitahidi kupambikiza kesi kwa viongozi
na wafuasi wa UKAWA ili wapande vyeo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni