Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki Diamond Platinumz Tuzo
ya the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa
na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika
katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake
kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu.......
Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
- nikkwapili Kwaniaba ya @diamondplatnumz @diamondplatnumz mzawa wa tandale katika hii fani yetu tuliyokuwa tunaitwa wahuni....leo yeye ndio the most inspiring (kijana) as a music icon....TUZO IMETOLEWA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SAALAM , KITIVO CHA MASOKO 4h
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni