Makongoro
Nyerere leo naye amejitosa katika vita kubwa ambayo imeanza mwishoni
mwa wiki jana ya kuwania kuingia ikulu ya magogoni baada ya leo
kutangaza nia ra kugombea Urais kupitia chama cha mapinduzi leo nyumbani
kwake Butiama. Makongoro nyerere amekuwa mtu wa tano kutangaza baada
ya Luanga mpina,Edward Lowasa,Stephen Wasira na Mwigulu Nchemba
kutangaza nao nia ya kuwania nafasi hiyo nyeti serikalini
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni