Kuna vitu vimeendelea
mitandaoni kwa muda mrefu, labda wakati mwingine mitandao ya kijamii
huwa haina taarifa za ukweli kuhusu ukweli wa ishu zenyewe.
Staa wa muziki toka
Nigeria, Davido aliwahi kuingia kwenye headlines baada ya kuweka post
ambazo watu walihisi kwamba jamaa hakuwa na furaha na ushindi wa Diamond
Platnumz kupata Tuzo tatu South Africa na pia Idris kuibuka na Ushindi
wa BBAHotshots mwaka 2014.
Davido kaweka post hii
dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wake @Instagram, ameweka bendera
ya Tanzania alafu hajaandika chochote zaidi ya kuweka alama ya love !!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni