Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
Rais Filipe Jacinto Nyusi akipokea shada la maua baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
Rais Filipe Jacinto Nyusi akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgteni wake Rais Filipe Jacinto Nyusi
wakiangalia ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara
yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi
ya siku tatu.
Rais Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Filipe Jacinto Nyusi wakishangiliwa na mamia ya wakazi wa Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kumlaki Rais huyoanayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Filipe Jacinto Nyusi na ujumbe wake katika mazungumzo rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe na Waziri
wa Masuala ya Ndani wa Msumbiji wakitiliana saini mkataba wa
makubaliano mbele ye marais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais
Filipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji.
PICHA NA IKULU(Muro)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni