Young Killer
amejitetea kwamba wameshindwana kibiashara show hiyo ya uzinduzi wa
radio Jembe fm ulipangwa kufanyika miezi ya nyuma ambapo msanii T pain
wa Marekani alitangazwa kutumbuiza.Malipo yakipindi hicho kwa Young
Killer yalikua katika makubaliano sawa.Show hiyo ilihairishwa hadi leo
23 may baada ya redio hiyo kutoweka hewani kwa zaidi ya mwezi.
Hakupewa taarifa yoyote mbaka ilipopagwa tena na malipo yake kua ya
chini zaidi.Young Killer atafanya show usiku huu mkoani Shinyanga club
Butiama kwenye instagram party.
Fid Q kwa upande wake hakuweza kupatikana kwenye simu.Ikumbukwe wasanii
hawa ndio wanaoiwakilisha Jiji la Mwanza katika ulimwengu wa
burudani.Wasanii wa Mwanza walio tumbuiza kwenye shoo hiyo ni Mo
Music,Baraka Da Price na H Baba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni