Diamond Platnumz, Khadija Kopa,Tunda Man, Makomando, Walter Chilambo Kwenye Stage Moja Ya Lowassa Arusha Jana
Diamond
MAY 30 2015 Uwanja wa
Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa
Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali
cha CCM ili agombee Urais wa TZ mwaka huu.
Baada ya hapo watu
wakaigeukia stage ya burudani ambapo ilikuwepo list pia ya mastaa wa
Bongo Fleva ambao walipiga show ya nguvu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni