Jeshi la Polisi wilayani
Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuwakamata watu 6 na tuhuma za
kukutwa na viungo vya Albino wakiwa katika harakati za kuviuza viungo
hivyo.
Akizungumza na wamwondo blog
ofisini kwake mkuu wa kituo cha Polisi wilayani Kahama Leonard
Nyandahu, amesema watu hao wamekamatwa jana majira ya saa 7 mchana
katika nyumba ya kulala wageni ya MAJI HOTEL, iliyopo Phantom kata ya
Nyasubi wilayani Kahama.
AARIFA ZAIDI NA MAJINA YA WATUHUMIWA HAO TUTAWALETEA HIVI PUNDE... ENDELEA KUTEMBELEA WAMWONDO BLOG
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni