skip to main |
skip to sidebar
Mwalimu Ajinyonga Siku Akijiandaa Na Harusi Yake Na Kuacha Ujumbe Mzito--SAMAHANI KWA PICHA
Mwalimu wa Shule ya msingi Isangwa Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa amejinyonga chumbani kwake usiku wa kuamkia leo.
Cha
kusikitisha leo ndo ilikua kikao cha mwisho cha harusi yake na mmoja wa
mwana kamati anasema hadi sasa hawajajua chanzo cha marehemu kuamua
kuchukua uamuzi huo.
Picha za tukio:
CHANZO-JAMII FORUM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni