Social Icons

Jumatatu, 25 Mei 2015

Mkutano Mkuu Wa Kwanza Wa Shirikisho La Vyuo Vya Elimu Ya Juu Tanzania Wafanyika Mjini Dodoma

  
 Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.  

 
Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Nape Nauye 
 
 
 Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa. 

 
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza meza kuu kuimba wakati wa kufungua kwa mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania. 

 
Kikundi cha burudani kikitumbuiza

 
Wajumbe wakishangilia 

 
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Hamis Ngomero kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma. 

 
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wajumbe kwenye mkutano huo 

 
Wajumbe wakisikiliza 

 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni