HII NI TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO May7,2015.
Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na
Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa
nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani
ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es
Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na
kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ)
katika maeneo hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni