Social Icons

Jumanne, 26 Mei 2015

Mtoto Akutwa Akitaka Kuiba Ndani Ya Duka La M-PESA Ubungo Anusurika Kuuwawa


 

Mtoto mwenye umri wa miaka 15 mkazi wa ubungo jijini dar es salaam Shabani amenusurika na kifo leo baada ya kukutwa ndani ya banda la M PESA
akiwa anajitahidi kupekua na kutaka kujua wapi pesa zipo ni baada ya mwenye MPESA kutoka na kwenda kutafuta kitafunwa ndipo kijana huyo akapata upenyo na kuingia ndani baada ya kufungua kitasa kilicho fungwa raia wema walijitokeza na kuomba achiwe tu kutokana na umri wake na kujitetea kuwa ninjaa ilimfanya afikie maamuzi hayo kutokana anaishi kwenye mazingira magumu na kazi anayo tegemea ni yakuokota makopo. 

  

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni