WAZIRI LAZARO NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori
akikagua ngozi za wanyamapori zilizokamatwa na askari wa wanyamapori
toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni
mwa wiki iliyopita. .Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu akila chakula cha mchana na
wanafunzi wa shule ya sekondari ya Selous iliyopo Likuyu wilayani
Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori
akikagua meno ya tembo yaliyokamtwa na askari wa wanyamapori toka kwa
majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki
iliyopita..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni