skip to main |
skip to sidebar
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari: UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA RASMI KESHO JUMAPILI MKOANI RUKWA
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa
habari leo tarehe 23 Mei 2015 kuelezea juu ya zoezi la uandikishiaji wa
Wananchi kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho
tarehe 24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa
Rukwa Ndugu Smythies Pangisa.
Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni