Social Icons

Jumapili, 10 Mei 2015

AJALI / PICHA:-Taswira Lori lenye Kontena Lagongana na Fuso na Kutumbukia Mto Wami May 10, 2015.


 

Ajari ya malori mawili yamegongana kwenye daraja la mto wami na kutumbukia mtoni! 
Kwa mujibu wa Kamanda Mohammed Mpinga "...tukio la ajali lilitokea asubuhi ya Jana May 10, 2015 eneo la mto Wami likihusisha magari 4. 

Chanzo cha ajali hiyo ni  roli lenye kontena ku-fail brake kisha kuparaza Coaster na roli ikipishana nazo kabla ya Wami darajani kuelekea Chalinze na kwenda kugonga kwa nyuma fuso iliyokuwa mbele yake na zote kwenda kutumbukia mtoni."
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni